Rais Samia amteua kigogo TIC kuwa bosi mpya TISEZA

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Gilead Teri kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (Tiseza). Teri ambaye alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), anakwenda kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo iliyoanzishwa kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Na….

Read More

VIDEO:Balaa la Mboso alivyopokelewa Bukoba,mashabiki washindwa kujizuia

Msaanii Mbosso kutokea katika record lebal ya WCB amewasilia katika viunga vya manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera na kupitishwa katika maeneo tofauti tofauti ya Manispaa ya Bukoba huku akishare love na mashabiki zake waliojitokeza kwa wingi kumpokea huku wengine wakimsubilia barabarani. Mbosso amewasili Mkoani Kagera kwa ajili ya Show kubwa ya Muleba Festival inayotarajia kufanyika…

Read More

Takukuru yafanya ukaguzi wa maeneo ya wazi yaliyovamiwa

Morogoro. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na wataalamu wa ofisi ya Mkurugenzi imefanya ukaguzi wa maeneo yote ya wazi yaliyovamiwa na kuendelezwa na wawekezaji, ili kufanya tathimini ya kina kuhusu uwekezaji uliofanyika ili kubaini kiasi cha upotevu wa fedha za mapato. Akitoa taarifa hiyo kwa niaba ya…

Read More

Kampeni ya Umoja wa Mataifa ya Chanjo ya Polio huko Gaza Itaendelea Ndani ya Kusitishwa kwa Kibinadamu – Masuala ya Ulimwenguni

Rik Peeperkorn, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Palestina, akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu kampeni ya chanjo ya polio huko Gaza. Credit: Naureen Hossain/IPS na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Alhamisi, Agosti 29, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Agosti 29 (IPS) – Kampeni ya mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa ya…

Read More

PUMA ENERGY TANZANIA YACHANGIA MITUNGI YA GESI KATIKA SHUGHULI ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI CHALINZE

Puma Energy Tanzania inaendelea kushirikiana na serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo imeshiriki katika hafla ya Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Chalinze zilizofanyika jana mkoani Pwani. Mkuu wa Kitengo wa Gesi ya PumaGas Bw. Jeffrey Nasser alikabidhi mitungi ya gesi kwa Mkuu wa Wilaya ya Chalinze Mhe. Shaibu…

Read More