
Matokeo uchaguzi Afrika Kusini, yanaweza kukiimarisha ANC au kukidhoofisha
Dar es Salaam. Uchaguzi mkuu nchini Afrika Kusini ulifanyika nchini Afrika Kusini Mei 29 mwaka huu kuchagua Bunge jipya la Kitaifa pamoja na bunge la mkoa katika kila majimbo tisa. Huu ni uchaguzi mkuu wa saba uliofanyika nchini humo tangu kumalizika kwa enzi ya ubaguzi wa rangi mwaka 1994. Baraza jipya la Kitaifa la Mikoa…