
Hofu yazidi uokoaji ukiendelea mgodini Shinyanga, waliokolewa wafikia saba
Shinyanga. Hofu na wasiwasi vimezidi kuongezeka wakati shughuli za uokoaji zikiendelea kwenye mgodi wa wa Chapakazi wilayani Shinyanga, ili kuwapata mafundi 18 walionasa ardhini kwa siku ya tano. Mwananchi lilishudia uopoaji wa miili ya walionasa katika mgodi huo shughuli iliyokuwa ikifanywa na vyombo vya ulinzi kwa kushirikiana na wananchi, huku viongozi wa Serikali ya Wilaya…