
DC, Mbunge watunishiana misuli Arusha
Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini, Felician Mtahengerwa amezidi kukoleza moto wa vita ya maneno dhidi yake na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo baada ya kurusha vijembe akisema; ‘Mwanaume ni mmoja wilayani, hivyo sina muda wa kubishana’. Pia ameongeza kuwa kauli anazozisema ni mhemko baada ya kuona mkusanyiko wa watu, wala hakuna ajenda…