
Hatua kwa hatua kinachoendelea mgomo wa Kariakoo
Dar es Salaam. Wafanyabiashara katika soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam wamegoma kufungua maduka yao leo Jumatatu, Juni 24, 2024 ikiwa ni mgomo uliotangazwa kufanyika. Taarifa ya mgomo huo usio na kikomo zilianza kujulikana kupitia mitandao ya kijamii, baada ya kusambaa kwa vipeperushi vilivyowataka wafanyabiashara kutofungua maduka hayo kuanzia leo. Licha ya viongozi wa…