
Samia awavuta wasanii Korea kuigiza na Watanzania
Sekta ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa zitakazovutia watu wengi zaidi duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Umoja wa Watayarishaji wa Filamu wa Korea (Korean Films Producers Association-KFPA), Eun Lee mbele ya Rais wa…