
WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA BANDA LA EWURA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akisoma moja ya kipeperushi chenye ujumbe kuhusu EWURA wakati alipotembelea banda la EWURA wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma. WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa…