
Masikini Mdamu bado anataabika, anahitaji msaada
JE, unataka kujua maisha ya aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu yanaendeleaje kwa sasa, Mwanaspoti limefanya mahojiano naye maalum kwa kumtembelea nyumbani kwake Kimara Bonyokwa, Jijini Dar es Salaam ambako amefunguka mambo mengi. Kwa mdau au taasisi inayopenda kumsaidia Mdamu kwa fedha, vifaa tiba au matibabu wawasiliane naye mwenyewe kupitia namba yake; 0655-670101(itasoma…