
Yanga yamvutia waya Baleke | Mwanaspoti
KUNA usajili wa kushtua unaoweza kujitokeza kwenye dirisha lijalo la usajili wa Ligi Kuu Bara. Jean Baleke kwenda Yanga. Mkongomani huyo ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Al-Ittihad ya Libya, aling’ara na Simba na kutema kwenye dirisha dogo huku mashabiki wakijiuliza bado ni nini kimetokea. Endapo kama dili la Baleke likiti, basi straika wao Joseph…