
MisaTan: Vyombo vya habari vitoe elimu ya uchaguzi
Dar es Salaam. Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, asasi mbalimbali za kiraia pamoja na vyombo vya habari nchini vimetakiwa kushirikiana kuhakikisha elimu ya uraia na ushiriki katika masuala ya uchaguzi inafika kwa wananchi bila kuweka kando kundi lolote. Wito huo umetolewa Mei 31 na Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari…