
Majaliwa: Suluhu Sports Academy itasaidia vijana kuonyesha vipaji
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Ujenzi wa Suluhu Sports Akademi utasaidia kujenga mfumo wa kuwaandaa vijana kucheza michezo mbalimbali. Majaliwa ameyasema hayo Zanzibar leo, Agosti 22,2024 kwenye hafla ya kuweka Jiwe la Msingi kwenye kitu hicho kinachojengwa Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar huku mgeni rasmi akiwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Majaliwa amesema…