Ukweli pambano la Mwakinyo, Mghana kukwama uko hivi

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameshindwa kupanda ulingoni kutetea mkanda wa WBO Afrika kutokana aliyekuwa promota wa pambano hilo, Shomari Kimbau kumzingua mwakilishi wa WBO,  Samir Captain kutoka Ghana. Mwakinyo usiku wa kuamikia leo alitakiwa kupanda ulingoni kutetea ubingwa huo dhidi ya Patrick Allotey wa Ghana, lakini hata hivyo, haikuwezakana baada ya…

Read More

Maajabu ya kifaa alichopewa Diarra kumzuia Fei Toto, Sopu

UNGUJA. Yanga inafanya mambo kama ipo Ulaya vile. Leo hii imewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutambulisha kifaa kipya cha mazoezi kwa makipa wao wakiongozwa na kipa namba moja, Djigui Diarra. Awali, Yanga ilitambulisha vifaa tofauti mazoezini ikiwemo ‘ball launcher’ ambacho kinatumika kama mbadala wa wachezaji kuwapigia makipa mashuti langoni. Kikosi hicho kinajiandaa na mchezo…

Read More

Ishu ya Mwakinyo kutopigana ipo hivi

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameshindwa kupanda ulingoni kutetea mkanda wa WBO Afrika kutokana aliyekuwa promota wa pambano hilo, Shomari Kimbau kumzingua mwakilishi wa WBO,  Samir Captain kutoka Ghana. Mwakinyo usiku wa kuamikia leo alitakiwa kupanda ulingoni kutetea ubingwa huo dhidi ya Patrick Allotey wa Ghana, lakini hata hivyo, haikuwezakana baada ya…

Read More

Azam, Yanga zajifua chini ya ulinzi mkali

KATIKA kuhakikisha kila mmoja anafanya mambo kwa ufanisi ili kubeba ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) kwa tahadhari kubwa ya mpinzani wake asiibe mbinu, timu za Yanga na Azam zimechukua uamuzi wa kufanya mazoezi zikiwa chini ya ulinzi mkali. Hilo limejiri katika maandalizi ya timu hizo yanayoendelea visiwani Zanzibar kuelekea mchezo wa fainali…

Read More

Diarra apewa kifaa cha kumzuia Fei Toto, Sopu

UNGUJA. Yanga inafanya mambo kama ipo Ulaya vile. Leo hii imewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutambulisha kifaa kipya cha mazoezi kwa makipa wao wakiongozwa na kipa namba moja, Djigui Diarra. Awali, Yanga ilitambulisha vifaa tofauti mazoezini ikiwemo ‘ball launcher’ ambacho kinatumika kama mbadala wa wachezaji kuwapigia makipa mashuti langoni. Kikosi hicho kinajiandaa na mchezo…

Read More

Yanga, Azam acha kipigwe fainali Shirikisho

MWISHO wa ubishi. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Azam FC na Yanga zitakapovaana katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho. Mechi hiyo inatarajiwa kupigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Unguja Zanzibar, ikiwa ni mara ya kwanza kwa pambano la michuano hiyo kupigwa huko. Timu hizo zinakutana katika fainali hiyo ya tisa…

Read More