Kizimbani kwa tuhuma za kuvamia, kuiba mali za Sh1.5 bilioni The Voice
Dar es Salaam. Wakazi wawili wa Kinyerezi, Tumaini Moshi(33) na Gaspar Mmari(24) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la unyang’anyi wa kutumia silaha na kujipatia vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh1.5 bilion mali ya Klabu ya The Voice Tz Limited. Washtakiwa hao wanadaiwa kabla ya kutekeleza wizi huo, waliwatishia watu kwa…