
Shule zimefungwa, ni zamu ya wazazi kufunda watoto wao
Shule zimefungwa, watoto wamehitimu muhula wa kwanza wa masomo. Ni wazi kuwa kila mzazi sasa analo jukumu la kukaa karibu na watoto wake kwa lengo la kuzungumza nao kuhusu yaliyojiri shuleni katika muhula walioumaliza na kupanga watauanzaje muhula wa pili wa ngwe ya lala salama kwa mwaka huu wa masomo wa 2024. Lakini pia ni…