
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MAREKANI
…………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania ipo tayari kufanya kazi kwa karibu na jumuiya ya wafanyabiashara wa Marekani pamoja na kuwezesha uwekezaji kupitia sheria zilizofanyiwa marekebisho, miundombinu iliyoboreshwa, na uchumi huria. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati…