
Tanzania yachomoza kriketi Afrika | Mwanaspoti
WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Afrika wa mchezo wa kriketi wameonyesha kuridhishwa na namna ya ukuzaji wake, baada ya viongozi kutoka nchi 25 kukutana Dar es Salaam. Mkutano huo wa mafunzo umekuja wiki chache baada ya Tanzania kushinda michuano ya Divisheni ya Kwanza Afrika kwa vijana wa chini ya miaka 19 ambayo fainali zake zilichezwa…