Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Shinyanga
Shinyanga. Serikali imesema itatuma timu ya kamishna wa ardhi kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyanga ili kuzitambua baadhi ya kaya zilizosahaulika wakati wa tathmini ya umilikishwaji wa ardhi katika eneo la zaidi ya ekari 300 za Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (Mwanva) FDC. Wananchi hao ni wale waliosahaulika kwenye Takwimu zilizotolewa kwa Rais wa awamu ya…