NAIBU WAZIRI KHAMIS ATAKA JUHUDI KUKABILI MABADILIKO YA TABIANCHI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akifunga Mkutano Mkuu wa kwanza wa Muungano wa Vyuo Vikuu vitano, unaolenga kuimarisha uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi barani Afrika kwa kukuza kilimo endelevu, usimamizi wa maji, na kuimarisha afya ya umma, Novemba 12, 2024 mkoani Dar es Salaam….