
Andaeni suti mapema fainali Azam, Yanga
Baada ya kushuhudia Yanga ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara na sasa macho ya wapenda soka yapo visiwani Zanzibar kwenye fainali za Kombe la Shirikisho. Yanga ilitinga fainali baada ya kuichapa Ihefu bao 1-0 likifungwa na kiungo mshambuliaji, Stephane Aziz KI katika dakika ya 100 huku Azam ikiingia hatua hiyo baada ya kuitandika Coastal Union…