
Winga akaribia kutua Singida Black Stars
TIMU ya Singida Black Stars inakaribia kumsajili nyota wa Stand United ‘Chama la Wana’, Yusuph Khamis baada ya mabosi wa kikosi hicho kuvutiwa na uwezo wake aliouonyesha kwenye Ligi ya Championship msimu uliopita. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata zinaeleza mabosi wa Singida Black Stars wanamfuatilia kwa ukaribu mchezaji huyo, ambaye msimu uliopita akiwa na Stand aliifungia…