
MUHIMBILI MLOGANZILA KUENDELEA KUTOA MATIBABU YA UPANDIKIZAJI WA NYONGA NA MAGOTI
MKURUGENZI Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo itaendelea kutoa matibabu ya ubingwa bobezi ikiwemo upandikizaji wa nyonga na magoti hapa nchini kwa lengo la kupunguza usumbufu na gharama za kufuata matibabu hayo nje ya nchi. Prof. Janabi ameyasema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu kuanza rasmi kwa kambi…