
Kamishna Mkuu TRA, Amewataka Viongozi wa Dini Kuhamasisha Waumini Kulipa Kodi
Kushoto ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Yusuph Mwenda akimpazawadi ya Ramadhani Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar. Sheikh Ali Hamis Ngeluko, Naibu Kadhi Mkuu Tanzania akiwasilisha salamu kwa niaba ya Shekh Mkuu Tanzania Muft Abubakari Zubeir, katika Iftari Maalam iliyoandaliwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato…