
TANZANIA KUJIIMARISHA KATIKA UKANDA WA IORA
Tanzania imeweka nia ya dhati ya kunufaika na fursa mbalimbali zinazopatikana katika Jumuiya ya Nchi za Mwambao wa Bahari ya Hindi (IORA) kupitia uanachama wake kwenye Jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa ambaye aliongoza ujumbe wa Tanzania…