
Rwanda imepeleka raia wake maeneo ya M23 – DW – 12.12.2024
Wakati wa hotuba yake mbele ya bunge, Rais Félix Tshisekedi alilaani mkakati unaodaiwa kuratibiwa na Rwanda wa kubadilisha uwiano wa idadi ya watu katika baadhi ya maeneo ya Kivu Kaskazini. Alisisitiza kuhusu kutolewa kwa watu kwenye maeneo ya kimkakati na kisha kupandikizwa na raia wa Rwanda. “Zaidi ya uhamisho mkubwa wa watu unaosababishwa na vita,…