Rais Samia asikubali kurejea ya Magufuli

HAKUNA shaka kuwa uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliopangwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, umeanza kugubikwa na utata na ikiwa mamlaka hazitakuwa makini, hakika waweza kuvurugika. Anaandika Oliver Mwikila … (endelea). Hii ni kwa sababu, hata kabla ya uchaguzi wenyewe kuanza kufanyika, tayari kumeibuka utata unaotokana na kuwapo sheria tatu…

Read More

Wawili waenda jela maisha kwa kusafirisha mirungi 

Moshi. Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na   Uhujumu Uchumi Kanda ya Moshi, imewahukumu kifungo cha maisha jela, Abdalah Halfan Mkwizu na Samwel Eliud Lyakurya wakazi wa Rombo, baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha kilo 690.767 za dawa za kulevya aina ya mirungi. Mbali na kifungo hicho, Mahakama hiyo imeamuru…

Read More

Buku 5 tu kuwaona Aziz KI, Fei Toto

MASHABIKI wa soka visiwani Zanzibar wana kiu ya kuona udambwidambwi wa Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi wa Yanga pamoja na mziki mnene wa vijana wa Azam FC wanaoongozwa na Feisal Salum, Kipre Junior, Abdul Suleiman na Gjibiril Sillah. Katika kuhakikisha wanapata burudani ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Yanga…

Read More

DKT. BITEKO AZINDUA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akizindua kituo kikubwa cha kupoza na kusambaza umeme cha Ifakara ( 20MVA) wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima na kushoto kwake ni Balozi wa Umoja wa Ulaya, Christine Grau Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

Read More

Dk Mpango: Uchafuzi mazingira mijini bado changamoto

Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema uchafuzi wa mazingira katika miji, majiji halmashauri bado changamoto, akiwataka viongozi wa maeneo kuongeza nguvu katika usimamizi wa kukabiliana na suala hilo. Mbali na hilo, Dk Mpango uharibifu wa misitu bado changamoto licha ya kuwepo kwa vyombo vya kuishauri Serikali kuhusu masuala ya utunzaji wa…

Read More

Simba yamuandalia ‘sapraizi’ Bocco | Mwanaspoti

UONGOZI wa Simba umefunguka namna nahodha  wa zamani, John Bocco alivyokuwa na jukumu la kusaidia kutuliza migomo na kuongoza wachezaji wenzake nje na rekodi ya kutwaa mataji manne. Bocco amedumu miaka saba kikosi cha Simba baada ya kujiunga msimu wa 2017/18 na kutwaa mataji hayo ya Ligi Kuu na kuisaidia kucheza robo fainali tano za…

Read More