Kagera SUGAR kushusha mashine mpya 12

KIKOSI cha Kagera Sugar kitaanza maandalizi ya kujifua na msimu mpya Jumatatu Julai 8, mwaka huu mjini Bukoba huku kikitarajiwa kushusha mashine mpya 12 na kuweka kambi yake mkoani Shinyanga kusaka utulivu. Mastaa wa timu hiyo walipaswa kuwasili mjini Bukoba kuanzia juzi (Jumatano) na kambi kuanza Alhamisi lakini kutokana na changamoto mbalimbali maandalizi hayo yamesogezwa…

Read More

Wasioendeleza visiwa kunyang’anywa Aprili 7

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema ifikapo Aprili 7, 2025 wawekezaji ambao walikodishwa visiwa vidogo lakini hawajaviendeleza watanyang’anywa. Kauli hiyo ni mwendelezo wa zilizotolewa awali kwa nyakati tofauti na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi na Rais Samia Suluhu Hassan alipofungua hoteli ya Kisiwa cha Bawe, Unguja wakati wa shamrasharama za sherehe za…

Read More

Vipaumbele vitano vya wananchi miaka 25 ijayo vyatajwa

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitarajia kuzindua Rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Desemba 11, 2024, matamanio na matarajio ya wananchi na wadau yamelala katika maeneo makubwa matano na sekta tano  za kufanyiwe kazi ipasavyo. Maeneo ambayo wanataka yafanyiwe kazi ni kujenga uchumi imara unaostawi na unaoboresha maisha yao, huduma bora…

Read More

NG’ARISHA JUMAPILI YAKO KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET

KAMA wikiendi yako ilipata ukungu kidogo haijamalizika na una nafasi ya kuing’arisha leo Jumapili na ikamalizika kibabe kupitia Meridianbet, Kwani mabingwa wamemwaga Odds bomba kwenye michezo ya leo ambapo wanakupa fursa ya kupiga mkwanja mnene. Kuanzia pale kwenye ligi pendwa kabisa duniani ligi ya Uingereza itapigwa michezo mikali, Ligi kuu ya Hispania La Liga, nchini…

Read More