
JUKWAA LA UTALII WA CHAKULA DUNIANI KUFANYIKA TANZANIA-MHE. MAJALIWA
Na John Mapepele Jukwaa la Pili la Utalii wa Chakula Duniani kwa Kanda ya Afrika linaloandaliwa na Shirika la Utalii Duniani linatarajiwa kufanyika hapa nchini Aprili mwaka huu jijini Arusha. Haya yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa alipokuwa akiwasilisha mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na…