
Tuzo za TFF 2024 zawagawa wadau
SIKU chache tangu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) litangaze tuzo za soka kwa msimu wa 2023-2024 zitatolewa wakati ya Ngao ya Jamii ya uzinduzi wa msimu wa 2024-2025, wadau wameibuka wakionekana kuwaganyika juu ya uamuzi huo. Taarifa ya TFF kuhusu tuzo hizo kusogezwa mbele ilieleza sababu kubwa ni kuziboresha zaidi tofauti na misimu iliyopita japo…