Msiba

Mazishi ya aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, marehemu Hassan Mgaya, yamefanyika leo Alhamisi Januari 2, 2025 kwenye makaburi ya Jeti Lumo jijini Dar es Salaam.

Read More

Kiungo Simba Queens atambulishwa Burundi

BAADA ya kupewa mkono wa kwaheri na Fountain Gate Princess siku nne zilizopita hatimaye kiungo wa zamani wa Simba, Joelle Bukuru amejumuishwa kwenye kikosi cha PVP Buyenzi ya Burundi. Simba Queens ilimtoa kwa mkopo wa miezi sita kiungo huyo kwenda Fountain katika dirisha dogo la usajili msimu uliopita baada ya kocha kutokuwa na mpango na…

Read More

Aucho, Dube mambo magumu, Diarra kicheko

Kuanzia Jumatano, Machi 19, 2025 hadi jana Alhamisi, nyota nane (8)  wanaocheza timu tofauti za Ligi Kuu Tanzania Bara wamekuwa wakizitumikia timu zao za taifa zinazoshiriki mashindano ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026. Katika mechi zao hizo baadhi zimepata matokeo mazuri, nyingine zimeondoka na pointi moja moja na kuna zilizoangusha pointi zote…

Read More

Mpango wowote wa amani lazima uheshimu uhuru wa kitaifa, mjumbe wa UN anasema – maswala ya ulimwengu

Katika mahojiano ya kipekee na Un neHuduma ya Kiarabu ya WS huko New York, Ramtane Lamamra alisisitiza kwamba suluhisho lazima iwe ya kisiasa, ikitaka kutegemea hekima na uwezo wa kukabiliana na sababu za mizizi zilizosababisha mzozo wa kikatili. Alithibitisha kwamba watu wa Sudan ni huru na wanasema mwisho katika siku zao za usoni. Hali inayozidi…

Read More

Mpina amshukuru Samia kumwondoa Makamba Nishati

Dodoma. Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwondoa aliyekuwa Waziri wa Nishati, January Makamba na kuibadilisha Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Mpina ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 25, 2024 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2024/25. Amempongeza Naibu…

Read More

Hapi atupa kijembe wapinzani waache kulalama, visingizio

Babati. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Ally Hapi amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kutolalamika kwa watu na kutoa visingizio kuwa wanataka Katiba mpya na Tume mpya ya uchaguzi ili hali watu hawawezi kula hayo wanahitaji maendeleo. Hapi amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kutoogopa kushiriki uchaguzi, akisisitiza kuwa kazi kubwa zilizotekelezwa na…

Read More