
Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe akishirikiana na hawara
Songwe. Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Watuhumiwa hao ambao majina yao hayajatajwa wanadaiwa kumuua Victor Mwakapenda (41), mkazi wa mtaa wa Ilembo, Mbozi mkoani humo. Kamanda wa Polisi mkoani…