
Wachungaji wanaotumia sauti kubwa kuhubiri hatarini
Dar es Salaam. Baadhi ya wahubiri wanapotekeleza majukumu yao ya kuhubiri neno la dini wamekuwa wakibadili sauti, huku wengine wakitumia nguvu kuzungumza. Watumishi hao wa Mungu hufanya hivyo kwa muda mrefu pasipo kujua iwapo kuna athari za kiafya wanazoweza kupata. Daktari bingwa wa koo katika Hospitali ya St Bernard, Daniel Massawe, anasema kubadilisha sauti kwa…