Magari ya umeme sasa rasmi Tanzania.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua magari yanayotumia mfumo wa umeme ikiwa ni jitihada za Serikali za kuwezesha wananchi kutumia nishati safi nchini. Uzinduzi wa magari hayo umefanyika leo Mei 30, 2024 jijini Dodoma sanjari na uzinduzi wa Ofisi za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja…

Read More

Rais Samia atua Korea akiambatana na mawaziri wanne

Seoul. Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Korea Kusini tayari kwa ziara ya siku sita, ambako pamoja na mambo mengine atashuhudia itiaji saini wa mikataba mbalimbali ya ushirikiano. Rais Samia amewasili jijini Seoul saa 12 jioni kwa saa za Korea (saa 6 mchana saa za Tanzania) na kesho Juni mosi, 2024 ataanza ziara ya kitaifa…

Read More

Mkude aliamsha mapema Unguja | Mwanaspoti

KIUNGO wa Yanga, Jonas Mkude, ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi hicho wanaofanya mazoezi kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Azam utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani hapa. Mkude alikosekana ndani ya kikosi cha Yanga kwa muda wa takribani wiki mbili baada ya kutokuwa vizuri kiafya. Daktari wa…

Read More

Jerome Boateng asaini LASK kama mchezaji huru.

Jerome Boateng anaingia kama mchezaji mpya wa LASK, akijiunga kama mchezaji huru kutoka Salernitana. Mkataba hadi 2026. Mkurugenzi Mtendaji wa LASK Gruber: “Inashangaza kabisa na haiaminiki kwamba tuliweza kumleta Jerome Boateng, mchezaji wa kipekee na mwanariadha wa kuigwa katika ngazi ya kimataifa, kwenye LASK. Alikuwa na ofa nyingi na za faida kubwa. alifanya makubaliano makubwa…

Read More

Watu 36 waliwa na mamba Buchosa

MBUNGE wa Buchosa mkoani Mwanza, Eric Shigongo ameiomba Serikali kuchukua hatua za dharura kuokoa maisha ya wananchi wa wilaya hiyo hasa ikizingatiwa jumla ya watu 36 wameuawa na kuliwa na mamba katika kipindi cha miaka mitatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Amesema mbali na kuwa na majina ya watu wote waliopoteza maisha kutokana na kukithiri…

Read More

Dakika 47 za Mdee akikomalia bajeti Wizara ya Ujenzi

Dodoma. Dakika 47 zimekuwa moto bungeni baada ya hoja ya kutaka ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa miradi kwa mfumo wa EPC +F iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee kusababisha vuta- nikuvute ya wabunge. Mfumo wa EPC +F ni utaratibu wa utekelezaji wa miradi unaoruhusu kampuni au mkandarasi kuwa jukumu la kusimamia hatua zote kuu…

Read More

Simba, Yanga kupitisjha fagio la chuma

DURU za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo huenda likawa na sapraizi ambazo huenda zikaacha mijadala kwenye vijiwe vya kahawa. Lakini za ndaani kabisa ni kwamba hilo lazima lifanyike ili mabadiliko yaonekane kwenye pichi msimu ujao wa kimashindano…

Read More