Frank Lampard ameibuka kama mpinzani wa ghafla wa kuwa meneja mpya wa Burnley baada ya kuondoka kwa Vincent Kompany.

Nahodha huyo wa zamani wa Manchester City alitarajiwa kuwa sehemu ya mustakabali wa Clarets baada ya kushindwa kuwaweka kwenye Premier League msimu huu. Lakini, kama ilivyofafanuliwa na Mail Sport wiki jana, Bayern ilizindua ombi la kushtukiza la kumvuta kutoka kwa Turf Moor kabla ya kukubaliana na kutangaza uteuzi wa mshtuko Jumatano. Burnley baadaye walithibitisha kwamba…

Read More

Amidst Global Turmoil, Citizens Unite for Peace: 11th Annual Peace Walk in 50 countries

As conflicts erupt worldwide, threatening global security and coexistence, hope of peace emerges from citizens. In May 2024, citizens across all continents will join hands for HWPL’s 11th Annual Commemoration of the Declaration of World Peace and Peace Walk, organized by a UN-affiliated NGO Heavenly Culture, World Peace, Restoration of Light (HWPL). Themed “Communication for…

Read More

Simba, Yanga fagio la chuma

DURU za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo huenda likawa na sapraizi ambazo huenda zikaacha mijadala kwenye vijiwe vya kahawa. Lakini za ndaani kabisa ni kwamba hilo lazima lifanyike ili mabadiliko yaonekane kwenye pichi msimu ujao wa kimashindano…

Read More

DKT.MOLLEL:WAGANGA MSIZUIE MAITI WEKENI UTARATIBU MZURI

Na WAF – Dodoma   Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Waganga wakuu wa Mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya Pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali kwa ngazi zote nchini kuzingatia maelekezo ya Mwongozo wa kutozuia maiti na kuweka utaratibu wa kulipia gharama za matibabu na madeni ya miili ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma…

Read More

SWICA YAIINGIZIA SERIKALI DOLA ZA MAREKANI 2,773,000

Na. Beatus Maganja, Bungeni Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Jasmin Kairuki (Mb) amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, Wizara yake imefanikiwa kuanza utekelezaji wa Uwekezaji Mahiri kwenye Maeneo ya Wanyamapori (Special Wildlife Investment Concession Areas – SWICA) ambapo jumla ya Dola za Marekani 2,773,000 sawa na Shillingi bilioni 7.1…

Read More

Naibu Waziri anena baada kushuhudia ufunguzi wa Maktaba ya kisasa Dodoma.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga Ameishukuru Serikali ya marekani kupitia ubalozi wake hapa nchini kwa kudhamini kituoa cha kisasa cha Tehama katika Maktaba ya Dodoma kitakachotumika na watanzania kupata maarifa na stadi mbalimbali zitakazo wawezesha kutimiza ndoto zao Ametoa shukrani hizo 29 mei, 2024 Jijini dodoma alipohudhuria ufunguzi wa Maktaba…

Read More

Yanga yamvutia waya Baleke | Mwanaspoti

KUNA usajili wa kushtua unaoweza kujitokeza kwenye dirisha lijalo la usajili wa Ligi Kuu Bara. Jean Baleke kwenda Yanga. Mkongomani huyo ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Al-Ittihad ya Libya, aling’ara na Simba na kutema kwenye dirisha dogo huku mashabiki wakijiuliza bado ni nini kimetokea. Endapo kama dili la Baleke likiti, basi straika wao Joseph…

Read More

Bunge lapitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi asilimia100.

Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege. Jana Mei 29,2024 Waziri Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliwasilisha makadirio ya bajeti ya kiasi hicho kwa…

Read More