
DKT NCHEMBA ATAJA SABABU ZINAZOSABABISHA WATANZANIA KUINGIA KWENYE MIKOPO UMIZA/ KAUSHA DAMU
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba amesema moja ya sababu zinazosababisha Watanzania wengi kuingia kwenye mikopo umiza pamoja na kausha damu ni kutokuwa na tabia ya kukopa fedha katika mifumo iliyo rasmi. Dkt Nchemba ameyasema hayo leo jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa mfumo wa kushughulikia malalamiko ya watumiaji wa…