Mgombea mwenza Chaumma akerwa utitiri wa kodi, ushuru kwenye mazao, aahidi neema
Morogoro. Mgombea mwenza urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amewahakikishia Watanzania endapo chama hicho kitaingia madarakani kero ya tozo za mazao ya kilimo na utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara zitaondolewa. Amesema Serikali ilipaswa kuwawezesha wakulima kwa zana bora za kilimo na sio kusubiri wakulima kuteseka kulima, kuvuna na baadae kudaiwa ushuru….