Makamu wa Rais mgeni rasmi kongamano Dira ya Maendeleo
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa kongamano la Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 litakalofanyika Juni 8,2024 kwenye ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 4, 2024 jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais,…