
Ukatili, teknolojia chanzo ongezeko la Ukimwi kwa wasichana wa 2000
Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imeonyesha maambukizi mapya kwa wasichana wenye umri wa miaka 15 mpaka 24 yameongezeka mara mbili zaidi, huku sababu ikitajwa kuchangiwa na kukua kwa teknolojia. Mawasiliano hasa ya njia ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii yametajwa kuwa kichocheo cha ongezeko hilo, huku…