AKILI ZA KIJIWENI: Asante na kwaheri Kapteni John Bocco

MACHO hayaamini yanachokiona kwenye ukurasa wa Instagram wa nahodha wa Simba, John Bocco ambaye msimu huu hakuonekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na majeraha. Ninachokisoma ni anko John Bocco amewaaga rasmi mashabiki wa timu hiyo kuwa anaachana nayo rasmi baada ya mkataba wake kumalizika akiwa ameitumikia kwa miaka saba. Kwangu, Bocco hajawaaga Simba pekee bali…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Geita nayo imeshuka na uwanja wake

MSIMU wa 2020/2021, Gwambina FC ya Mwanza ilishuka daraja ikiwa ndio kwanza imeshiriki Ligi Kuu kwa msimu mmoja baada ya kumaliza ikiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi iliyokuwa na timu 18. Kulikuwa na matumaini makubwa kwa timu hiyo ambayo maskani yake ilikuwa kule Misungwi, Mwanza angalau ingedumu Ligi Kuu kwa misimu kadhaa lakini…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Tusiichukulie poa Azam Ligi ya Mabingwa

HONGERA sana Azam FC kwa kujihakikishia tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ikiungana na Yanga iliyotwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliomalizika. Nimeamua kuwapongeza Azam kwa vile wana muda mrefu sana ambao wamekaa bila kushiriki mashindano hayo makubwa kwa klabu hapa Afrika. Kiufupi jamaa wameipambania hasa nafasi hiyo ya kuiwakilisha nchi…

Read More

ZANZIBAR ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA NORWAY-DK.MWINYI

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Serikali ya Norway katika sekta mbalimbali. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipokutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tone Tinnes aliyefika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha tarehe:30 Mei 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi alimueleza Balozi Tinnes kuwa Zanzibar…

Read More