
Yanga, Simba zapewa ubingwa Afrika
Dar es Salaam. Makocha na nyota wa zamani wa soka nchini wamezitabiria makubwa timu za Tanzania Bara zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika msimu ujao huku wakiamini zinaweza kutwaa ubingwa. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam wakati kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi ni Simba na Coastal Union. Kwa mujibu wa…