
FCC kutumia akili mnembe(AI) kuimarisha utendaji kazi
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kukua kwa Teknolojia katika Sekta ya TEHAMA na uwepo wa akili mnemba (IA), kutasaidia kuongeza tija na ushindani wa Biashara huku elimu zaidi ikihitajika kwa wadau na wananchi kuhusu Teknolojia hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Mei 30,2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), William…