
DKT. NCHEMBA ASHIRIKI KUMUAGA MTUMISHI WA TRA
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akiwafariji wafiwa mara baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Aman Kamguna Simbayao leo Desemba 08, 2024 katika Viwanja vya Michezo TRA vilivyopo Kurasini jijini Dar es Salaam. Amani alifariki Dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa -Moi-Dar es salaam baada kushambuliwa…