
Ac Monaco kuhitaji kumsajili Broja.
Kwa mujibu wa L’Équipe, AS Monaco kwa sasa wapo kwenye mazungumzo na Chelsea kuhusu usajili wa Armando Broja (22). Klabu hiyo ya Principality kwa sasa inaongoza Watford na AC Milan katika mbio za kumsajili mshambuliaji huyo, ambaye alitumia kipindi cha pili cha msimu kwa mkopo katika klabu ya Fulham. Wiki iliyopita, Monaco ilithibitisha kuwa nahodha…