NCAA YAJINOA KUSHIRIKI MICHUANO YA SHIMMUTA 2024 JIJINI TANGA

Na Mwandishi wa NCAA, Tanga. Timu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imewasili mkoani Tanga kushiriki kikamilifu katika Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na Taasisi Binafsi (SHIMMUTA) yanayoanza leo tarehe 10 hadi 24 Novemba 2024, jijini Tanga. Mashindano haya yanajumuisha mashirika mbalimbali nchini yakiwa na lengo la kukuza mshikamano, afya, na ari ya…

Read More

Wanafunzi wa TIA Watoa Kongole Kwa Usimamizi wa Bunifu Kutoka Chuo

Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Klaivet Steven akizungumza kuhusiana na ubunifu wake wa kusaidia mtu kupata makazi ya kupanga katika mikoa yote nchini.Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Paul Reuben  akizungumza kuhusiana na ubunifu zao la Korosho mteja kupata korosha moja kwa moja kutoka kwa katika mfumo.Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo katika Banda la…

Read More

Washiriki 1200 watarajiwa kushiriki mbio za barabarani

WASHIRIKI wasiopungua 1200 wanatarajiwa kushiriki mbio za barabarani zitakazofanyika Agosti 31 mwaka huu zitakazoanza kutimua vumbi Police Office Mess Masaki. Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa The Runners Club, Godfery Mwangungulu ambao ndio waandaaji wa mbio hizo Alisema ni msimu wa saba sasa wa mbio hizo lakini kwa msimu huu zimekuwa na utofauti. Mwangungulu…

Read More

Manyama: Tutatacheza nane bora  | Mwanaspoti

BAADA ya Srelio kuifumua Ukonga Kings kwa pointi 90-50 katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), meneja wa timu hiyo, John Manyama ametoa kauli ya kibabe kwa wapinzani wao, akisema hakuna wa kuwazuia kucheza nane bora ya mashindano hayo. Manyama ameliambia Mwanaspoti kuwa, ushindi huo umewanyoshea njia ya kucheza hatua…

Read More

Tanzania yaipa homa Msumbiji kufuzu Kombe la Dunia kriketi

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Kocha wa timu ya kriketi ya Msumbiji, Filipe Cossa amesema  Tanzania ni ndiyo   timu  inayoweza kumzuia katika mashindano kriketi ya kufuzu kombe la dunia, daraja la pili (Divisheni II) kwa vijana wenye umri chini ya miaka 19. Michuano hiyo ambayo itashirikisha  jumla ya Mataifa nane, inatarajiwa kuanza kesho kwenye viwanja…

Read More