
Siri makusanyo ya Sh2.43 trilioni, TRA ikiweka rekodi
Dar es Salaam. Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa fedha 2024/2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh2.43 kiwango ambacho hakijawahi kukusanywa ndani ya mwezi mmoja. Taarifa kwa umma iliyotolewa na TRA imeeleza kuwa makusanyo hayo ni sawa na ufanisi wa asilimia 104.4 ikilinganishwa na lengo la kukusanya Sh2.24 trilioni. “Makusanyo haya ni sawa…