Magugu maji bado kikwazo usafiri wa vivuko Kigongo-Busisi

Mwanza. Wingi wa magugu maji ndani ya Ziwa Victoria umeendelea kukwamisha shughuli za usafirishaji wa abiria na magari katika eneo la kivuko cha Kigongo-Busisi, kutokana na injini za vivuko kupata hitilafu. Kutokana na tatizo hilo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, kwa mara nyingine jana, Februari 2, 2025, alilazimika kuwaruhusu watembea kwa miguu na…

Read More

Kikosi cha Feisal, Yanga 4 Simba 2

LIGI Kuu Bara imesaliwa na jumla ya mechi 17 kabla ya msimu kufikia tamati, lakini kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amevunja ukimya kwa kutangaza kikosi chake cha msimu akiwajumuisha nyota wanne wa Yanga na wawili wa Simba. Fei ambaye aliwahi kuichezea Yanga misimu miwili iliyopita amekuwa miongoni mwa mastaa wazawa wenye…

Read More

Kiini makandarasi wa kigeni kuchelewesha miradi

Dar es Salaam. Wadau wa masuala ya miundombinu nchini wametaja sababu za makandarasi wa kigeni kutokamilisha miradi wanayopewa ikiwamo kutumia muda mrefu kutafuta wasaidizi wa bei nafuu. Jambo lingine ni makandarasi hao kutuma fedha zote za mradi kwao baada ya kukamilishiwa malipo, hatua ambayo huongeza mchakato wa malipo ya makandarasi wasaidizi na mafundi kwenye mradi…

Read More

TBS yapongezwa na Kamati ya Bunge kwa utekelezaji majukumu

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Kilimo na Mifungo imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa lengo kuhakikisha usalama wa bidhaa ambazo zinatumiwa na Watanzania. Mbali na kupongezwa uwekezaji uliofanywa kwenye shirika hilo, Kamati hiyo pia ilimpongeza Rais Samia kwa uwekezaji wa aina…

Read More