
WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA
Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa Wizara hiyo. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa jana aliwasilisha bajeti ya Wizara hiyo akiomba bunge lipitishe Sh1.7 Trilioni kwa mwaka 2024/25 kiasi ambacho wabunge wanasema hakitafikia malengo kwani mvua zimeharibu miundombinu katika maeneo…