January, Nape: Ilianza kwa Magufuli sasa kwa Samia

Catherine Haddon, raia wa United Kingdom (UK), ni mtaalamu wa uendeshaji wa Serikali. Catherine aliwahi kusema: “Some reshuffles are planned well in advance and some are sudden but, they all have the potential to go off-course.” Tafsiri yake ni kuwa; “baadhi ya mabadiliko ya baraza la mawaziri hupangiliwa vizuri mapema na mengine hutokea ghafla, lakini…

Read More

Mawaziri wa Habari na Teknolojia Afrika kujadili utawala wa mtandao

Dar es Salaam. Mawaziri wa Afrika wanaoongoza wizara  kwenye masuala ya habari na teknolojia wanatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam, katika kongamano la Jukwaa la Utawala wa Mtandao Afrika (AfIGF) wakijadili mambo muhimu yanayohusu sera, matumizi, kanuni na mambo mengine yanayohusisha uchumi wa kidigitali. Kongamano hilo linalotarajiwa kuanza Mei 29 hadi 31, 2025 limetanguliwa na…

Read More