Ushirikiano wa Biashara Hutoa Matumaini Dhidi ya Ukataji miti – Masuala ya Ulimwenguni

Misitu katika karibu kila nchi yenye misitu inakabiliwa na vitisho kutokana na moto unaotokana na mabadiliko ya tabianchi na shinikizo la ukataji miti unaochochewa na maslahi ya kiuchumi yanayotumia rasilimali asilia. Credit: Imran Schah/IPS Maoni Imeandikwa na Agus Justino (banten, indonesia) Ijumaa, Januari 10, 2025 Inter Press Service BANTEN, Indonesia, Jan 10 (IPS) – Katika…

Read More

Mke jela kwa kumjeruhi mumewe kwa panga

Mufindi. Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shukrani Jafeti (30), mkazi wa Mtaa wa Lumwago baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumjeruhi kwa panga mumewe, Shadrack Mtokoma. Hukumu imetolewa Julai 23, 2025 na Hakimu Mkazi, Edward Uphoro aliyesikiliza kesi hiyo. Katika kesi hiyo ambayo nakala ya hukumu …

Read More

Nafasi 2,224 za ajira zatangazwa serikalini, omba hapa

Dar es Salaam. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara, Idara, Mashirika, na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs), imetangaza nafasi 2,224 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, ujuzi na moyo wa kizalendo kujiunga na utumishi wa umma katika nyanja mbalimbali. Tangazo hili la ajira limetolewa Juni 5, 2025, likiwa ni…

Read More

Waathirika wa mafuriko Ifakara warejea kwenye makazi yao

Ifakara. Waathirika 160 kati ya 400 wa mafuriko waliowekwa kwenye kambi ya Shule ya Msingi Ifakara wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, wamerejea kwenye makazi yao huku wakiendelea kufanya ukarabati wakati Serikali ikikagua hali ya usalama wa nyumba hizo. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano Mei 8, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Danstan Kyobya amesema…

Read More

Ukizingua Singida BS, faini laki 5

KATIKA harakati za kuhakikisha nidhamu inaimarika ndani ya kikosi, uongozi wa Singida Black Stars umeweka utaratibu wa adhabu mbalimbali kwa wachezaji wanaokiuka misingi na taratibu za timu hiyo.  Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Jonathan Kasano amefichua kuwa kila mchezaji atakayekiuka taratibu zilizowekwa ikiwamo kuchelewa mazoezini au makubaliano atakatwa Dola 200 (takribani Sh528,491) kutoka kwenye mshahara. …

Read More

Mwandae hivi mwanao kupenda sayansi

Dar es Salaam. Sayansi ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya jamii yoyote duniani. Kuwa na kizazi kinachothamini na kupenda sayansi, ni msingi wa maendeleo endelevu katika sekta mbalimbali kama vile afya, kilimo, teknolojia, na mazingira. Kwa kuwa watoto ndio msingi wa jamii ya kesho, ni muhimu kuwasaidia kupenda sayansi wakiwa katika hatua za…

Read More