
Tanzania yapata mtambo wa kisasa wa uchorongaji madini
Geita. Tanzania imepata mtambo mkubwa wa uchorongaji madini ya dhahabu wenye uwezo wa kujiendesha, huku ukitarajiwa kuwa mwarobaini wa ajali mgodini na kuongeza uzalishaji wa dhahabu. Mtambo huo, wenye uwezo wa kuchoronga mita 400 kwenda chini, umenunuliwa na Shirika la Madini la Taifa (Stamico) kwa gharama ya Sh4 bilioni na utatumika kuchoronga madini katika mgodi…