
UDOM YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU,UJUZI NA UBUNIFU TANGA.
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Bi. Gloria Lema. …………… Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimeendelea kuwa kivutio kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Elimu Tanga, yanayoendelea sambamba na maonesho ya Elimu, Ubunifu na Teknolojia, kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal, Bombo. Baadhi ya wananchi…